Sehemu za siri za maiti ya mama mjamzito na matumizi yake katika ulozi

Haya mambo ya waganga ni sanaa tu. Kwa mfano huyo mganga atakua alipanga mchezo na hao watu waliokuja wakiwa uchi ili ionekane ni miujiza. Kuweni makini na waganga, muaminini Mungu Mkuu bwana wa viumbe vyote.
Hujui unalolisema
 
Hiyo ramli ya kuku inaitwa kwa kisukuma "kusweja ngoko" au "kuchembelwa ngoko". Hapo mganga anamwambia mteja atemee mate yake kwenye mdomo wa kuku, Mara nyingi kifaranga, na kisha kuku anapasuliwa akiwa mzima na mganga anaanza kuagua tatizo. Utadhani anasoma historia yako maana anavyomsoma kuku anakuambia kama Kuna kitu amekosea sema na unaona kila anachosema ni kweli kabisa. Unaanza kuambiwa historia Kuanzia hata babu yako wa tisa huko nyuma. Wasukuma noma sana
 
Hanging story.......hebu imalizie mkuu
 
Salaalei, huo uke na mafuta ya simba mlitoa wapi!?![emoji15] [emoji15]
 
Haya mambo ya waganga ni sanaa tu. Kwa mfano huyo mganga atakua alipanga mchezo na hao watu waliokuja wakiwa uchi ili ionekane ni miujiza. Kuweni makini na waganga, muaminini Mungu Mkuu bwana wa viumbe vyote.
kumwamini Mwenyezi Mungu bila kuamin kazi za waganga ni kujidanganya, ili kumdhihirisha Mwenyezi Mungu kua ni Mkuu juu ya kila kitu inabidi uamini kuna waganga na wachawi!!...
 
Haya mambo ya waganga ni sanaa tu. Kwa mfano huyo mganga atakua alipanga mchezo na hao watu waliokuja wakiwa uchi ili ionekane ni miujiza. Kuweni makini na waganga, muaminini Mungu Mkuu bwana wa viumbe vyote.
Upo huru kusema mathalani fikra zako zimekwambia
 
mganga alitusihi tutafute kuku wa rangi nyekundu yaani (Shingamageji),mafuta ya simba,mchanga wa kaburi la mtu aliyekufa kwa kukujinyonga, mtama na sehemu za siri za mwanamke aliyekufa na ujauzito wake.

[HASHTAG]#WAGANGAkwaKUKOMOANA[/HASHTAG]
Ama kweli!
 
Imani potofu mliatapeliwa vijiji vyote hivyo navifahamu hakuna uchawi kule
 
Kuna Watu (partners wa mganga) huwa wameshaelezwa kuhusu historia ya mgonjwa kabla na hao Watu Ndio humpatia mganga details zote.Kwa hiyo wewe kufikiria kuwa mganga anajua mambo yako ni kupoteza muda tu.Hao watu ni wajanja sana.Waganga na wachawi wanafanya kazi sawa na wacheza kamari.Wale huwaweka Watu fulani hivi wa kuvutia Watu wengine huku wao wakijifanya nao ni wateja wa kawaida tu.Hao huonekana kushinda mchezo Lakini wewe mtu wa kawaida rogwa uingie ndo utakiona kilichomtoa Kanga Manyoya.

Mlilipa kiasi gani Kwa Mganga? Je Huyo Jogoo mwekundu mlimuacha makaburini au Mganga aliondoka naye? Mulijuaje haya mafuta ya Simva? Mlijuaje zile nilikuwa kweli ni sehemu za siri za mwanamke aliyekufa anajifungua?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…