Sehemu za siri za maiti ya mama mjamzito na matumizi yake katika ulozi

Hii ni story nzuri sana kiulimwengu ila nakushauri mtafute mwalimu wa majibu yote na amani duniani YESU ukishampata utajisikia burudani sana na utajiuliza ni wapi ulichelewa kumfahamu.
 
Hivyo vitu vinapatikana kwa njia zisizo halali ndio maana napata kigugumizi kusema
Usiseme kabisa utaweza kujitafutia kesi zisizo kuwa na ulazima mambo mengine hayazungumzi hadharani uwe unaficha sio kila kitu unacho kiona inakisema unaweza kwenda lupango.
 
Tunajua sana tu viungo vingi sana vya binadamu vinapatikana mochwari tena kwa dau refu..nyie mnafikiri marupu marupu ya wafanya kazi wa mochwari yanatoka wapi?
 
Hujui lolote
 
Kivip Mkuu
Walozi....wachawi....na washirikina hawana free mind. Kazi yao kushinda uchi makaburini....hali zao za kiroho...kimwili...na kiakili ziko choka mbaya.

Why do you make a pact with devil?
 
Usiseme kabisa utaweza kujitafutia kesi zisizo kuwa na ulazima mambo mengine hayazungumzi hadharani uwe unaficha sio kila kitu unacho kiona inakisema unaweza kwenda lupango.
Iweje aende Lupango mkuu? Hao Polisi watampata wapi hadi wamkamate? Kama wanaye Mganga mwenye uwezo wa "kumumalizia" marehemu aliyechukuliwa kichawi si wataenda kwake tu Na Mganga atafanya yake? Au anaweza kwenda kumtoa gerezani hata ikilazimu kufungwa sababu labda Mganga Huyo hakuwepo wakati jamaa anakamatwa.
 
Nyinyi ndiyo mnaotumwa viungo vya binaadamu mnawakata bila huruma...
 
Hujui lolote

Mkuu Yawezekana Mimi sijui lolote lakini wewe pia hujui yote yakiwemo haya ninayoyasema.Siku ukigundua kuwa mambo ya uchawi ni hadithi za kurithishana za Muda mrefu Na ujanja ujanja wanaotumia Watu kujipatia pesa basi utanielewa.Ipo siku utagundua kuwa uchawi ni hadithi zilizojazwa mambo ya uweza MKUBWA sana Na wa kutisha kuliko ukweli wenyewe!
 
[emoji22][emoji22]sehemu za siri za mwanamke alofariki akiwa mjamzito
Kuna watu na viatu, (katambuga nazo ni viatu.?[emoji85])
 
Daaa ingependeza utuambie mazingira muliyopitia mpaka mukapata hivyo vifaa.Haswa hizo sehemu za siri za mama mjamzito aliyekufa
 
Ni hadithi kama za biblia
 
Haya mambo ya waganga ni sanaa tu. Kwa mfano huyo mganga atakua alipanga mchezo na hao watu waliokuja wakiwa uchi ili ionekane ni miujiza. Kuweni makini na waganga, muaminini Mungu Mkuu bwana wa viumbe vyote.
Wew unacho kiongea unaongea tu ili kujifuraisha. alafu unaonekana bado hujapitia mikasa na changamoto zamaisha. wapo waganga nawapo matapeli. ivi ulishawai kuona mti unahamishwa kutoka sehem A kwenda sehem nyingine? B. Mimi nilisha ona hayo, unaweza ukazani ni Movie hapana.
 
Hatuendelei kwa kuendekeza haya mambo ya kishirikina Mungu anatusaidie kwa kweli
 
Haya mambo ya waganga ni sanaa tu. Kwa mfano huyo mganga atakua alipanga mchezo na hao watu waliokuja wakiwa uchi ili ionekane ni miujiza. Kuweni makini na waganga, muaminini Mungu Mkuu bwana wa viumbe
kumbe na ww ulikuwepo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…