jaribu kuanglia thyroid hormones, fanya MRI,CT, ANA na mengineyo.Huwa inatokea na kuacha na kurudia tena unakuta kwamfano mkononi au mguuni kunakuwa na sehemu inadunda ka mapigo ya moyo na mara nyingine kwa force iliyozidi kwa muda flani inaweza kuwa mara moja au kwa kurudiarudia hivi kitaalamu hili swala lipo vipi msaada plz!
Huenda unagusa sehemu ambapo kuna mishipa ya damu imepita ndani ya mwili kwenye viungo, mikononi na miguuni pia