Hivi ngoja niulize hapa kwani JK alimwapisha Dr Bilal?, Ninavyojua mimi kulikuwa hakuna haja ya Shein kumteua Seif kama makamu wa kwanza kwani katiba ya Zanzibar inaweka wazi kuwa mtu wa pili kwenye uchaguzi ni makamu, hivyo basi Seif si mteule wa Shein bali yupo kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar kwani Shein alikuwa hana option yoyote ya kuteua mtu zaidi ya Seif katika nafasi ile. Haya yote ni mazagazaga ya kumdidimiza Seif na kuonesha kuwa Shein is in Command na anaweza kumfukuza Seif which is wrong. Maana akifanya hivyo inakuwa amevunja katiba aliyoapa kuilinda