YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kwa maoni yangu Seif Sharrif Hammad ni Mwanasiasa aliyeiva kisiasa haswa kwa upande wa Upinzani apewe nafasi na UKAWA kugombea uraisi wa Tanzania.Sababu pia anakubalika pande zote za muungano,jumuiya ya kimataifa , wafanyabiashara na watu wa kawaida na pesa ya kampeni anayo