Acha haraka mkuu au umetumwa?Kwa maoni yangu Seif Sharrif Hammad ni Mwanasiasa aliyeiva kisiasa haswa kwa upande wa Upinzani apewe nafasi na UKAWA kugombea uraisi wa Tanzania.S sababu pia anakubalika pande zote za muungano
Kama ataweka mpunga mezani unao eleweka hilo halina tatizo ni swala dakika tu Mwenyekiti DJ anafanya yake Kama alivyofanya kwa maMvi.Kwa maoni yangu Seif Sharrif Hammad ni Mwanasiasa aliyeiva kisiasa haswa kwa upande wa Upinzani apewe nafasi na UKAWA kugombea uraisi wa Tanzania.S sababu pia anakubalika pande zote za muungano
Ya Ukawa yanakuhusu nini wewe gamba.Kwa maoni yangu Seif Sharrif Hammad ni Mwanasiasa aliyeiva kisiasa haswa kwa upande wa Upinzani apewe nafasi na UKAWA kugombea uraisi wa Tanzania.S sababu pia anakubalika pande zote za muungano
Mchukueni CCM.Seif Sharrif Hamad anakubalika kotekote kwa watu wa kawaida ,jumuiya ya wafanyabiashara , jumuiya ya kimataifa na pesa anazo za kampeni
Seif Sharrif Hamad anakubalika kotekote kwa watu wa kawaida ,jumuiya ya wafanyabiashara na pesa anazo za kampeni
Ni mlipa kodi ambaye kodi yangu mnaila kupitia ruzuku
Ruzuku mnakula nyinyi ccm miaka yote toka mtawale hakuna mlichofanya zaidi kufisadi NchiNi mlipa kodi ambaye kodi yangu mnaila kupitia ruzuku
Hivi bado hawaja kuona tu huko lumumba wakupatie kanafasiNi mlipa kodi ambaye kodi yangu mnaila kupitia ruzuku
Ni mlipa kodi ambaye kodi yangu mnaila kupitia ruzuku
Kwa maoni yangu Seif Sharrif Hammad ni Mwanasiasa aliyeiva kisiasa haswa kwa upande wa Upinzani apewe nafasi na UKAWA kugombea uraisi wa Tanzania.Sababu pia anakubalika pande zote za muungano,jumuiya ya kimataifa , wafanyabiashara na watu wa kawaida na pesa ya kampeni anayo
Katumwa ma chakubanga kupima upepo
Kama ataweka mpunga mezani unao eleweka hilo halina tatizo ni swala dakika tu Mwenyekiti DJ anafanya yake Kama alivyofanya kwa maMvi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Seif Sharrif Hamad anakubalika kotekote kwa watu wa kawaida ,jumuiya ya wafanyabiashara , jumuiya ya kimataifa na pesa anazo za kampeni
Ni mlipa kodi ambaye kodi yangu mnaila kupitia ruzuku
Huhitaji hata kura moja ya ZnZ kuwa rais wa Tanzania. Wenzako wamekuja na maelezo kibao lakini wameshindwa kututoa kwa Lissu. Lissu ndie anayefaa kwa hizi siasa za kishenzi za awamu ya 5. Lissu ndiye anayeweza kujenga hoja za kuondoa huu ukondoo wa watanzania kuendelea kuongozwa na ccm kwa mabavu. Jiandaeni kufanya mauaji ya halaiki maana hizo siasa za maridhiano tumeona hazina maana.