INAUZWA SEIKO 5 Original 100% ya Japan imeingia

INAUZWA SEIKO 5 Original 100% ya Japan imeingia

biznes_dealz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
392
Reaction score
153
New Arrival, Seiko 5 Original ya Japan.
  • Saa ni mpya, original 100% ikiwa na box lake Original.
  • Saa ni Automatic haitumii betri, inatembea muda wote wakati wote
  • Saa haiingii maji hata uzame nayo chini ya bahari Seiko 5 utaikuta inatembea.
  • Saa ni zaidi ya roho ya paka unatumia mpaka unazeeka, unamrithisha mtoto na mtoto anakuja kumrithisha mjukuu.
* Hakuna kinachodumu kama Seiko 5 ya Japan

BEI: Tshs 850,000

Kwa msaada zaidi piga 0659358599

20240829_160253.jpg

20240829_160213.jpg

20240829_160117.jpg
20240829_160644.jpg
20240829_160352.jpg
Untitled1.jpg
 
Duuuh 850,, Mimi nisiyonna hela nawaza ni haela ya kununua bodaboda used
2020 alikuja jamaa yangu kutoka Mbeya akaniomba nimpeleke duka moja aliliona mtandaoni wanauza saa na perfumes lipo town pale Golden Tulip.

Tukafika nakumbuka jamaa ali-spend more than 2.5mill kwa manunuzi ya saa moja na perfume moja ya kwake na moja ya mkewe,kama unatafuta hela siyo vya kushangaa sana hivi vitu mwenyewe kuna wakati nilikuwa nawaza kama ulivyowaza wewe ila ni vitu vya kawaida sana.
 
Kweli Tajiri Mkubwa
 
Hiki ndicho kinachotutisha wabongo kununua vitu vya bei kubwa hapa nyumbani kutoka kwa unauthorised dealers.

Mchina ni mwingi sana mtaani hasa ukiwa kitu hukijui ni kugusa tu unajikuta umepigwa banzi.
Mzigo ninachukulia Japan na sio china, pili nimeshaziuza hapa na naendelea kuziuza ungeshasikia minong'ono, ikumbuke hii akaunti yangu, ninauza Seiko Original tupu na ndio maana hata bei yake imechangamka. Ungekuta famba usingeuziwa kwa bei hiyo.
 
Nakumbuka faza alikuwa na rolex kama mbili ila sikuwahi kumkuta na saa hizi
 
Nakumbuka faza alikuwa na rolex kama mbili ila sikuwahi kumkuta na saa hii
Ndio hizo Rolex za china za 50,000.... 30,000 mpaka 20,000. Wanasema katika saa ambazo ziko juu sana ni Rolex. Bei ya Rolex unaweza kununua mpaka gari... Wengi wanavaa midosho ya china ya 30,000 halafu anaona amevaa Rolex hilo ndio tatizo.
 
Mzigo ninachukulia Japan na sio china, pili nimeshaziuza hapa na naendelea kuziuza ungeshasikia minong'ono, ikumbuke hii akaunti yangu, ninauza Seiko Original tupu na ndio maana hata bei yake imechangamka. Ungekuta famba usingeuziwa kwa bei hiyo.
Yah mkuu ni sahihi.

Mimi nilikuwa najaribu kumpa jamaa mfano wa mazingira ya biashara ya vitu original hapa nyumbani Tanzania sikumaanisha unauza vitu fake.
 
Back
Top Bottom