biznes_dealz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 392
- 153
Nitakuwa nikiziuza hapa muda wote wakati wote, hizi ni saa haswa.Saa nzuri sana nakumbuka miaka ya 70, 80.....
2020 alikuja jamaa yangu kutoka Mbeya akaniomba nimpeleke duka moja aliliona mtandaoni wanauza saa na perfumes lipo town pale Golden Tulip.Duuuh 850,, Mimi nisiyonna hela nawaza ni haela ya kununua bodaboda used
Hiki ndicho kinachotutisha wabongo kununua vitu vya bei kubwa hapa nyumbani kutoka kwa unauthorised dealers.Tusubiri waenda china watuletee midoshi ya 30k na sisi tuvimbe.
Kweli Tajiri Mkubwa2020 alikuja jamaa yangu kutoka Mbeya akaniomba nimpeleke duka moja aliliona mtandaoni wanauza saa na perfumes lipo town pale Golden Tulip.
Tukafika nakumbuka jamaa ali-spend more than 2.5mill kwa manunuzi ya saa moja na perfume moja ya kwake na moja ya mkewe,kama unatafuta hela siyo vya kushangaa sana hivi vitu mwenyewe kuna wakati nilikuwa nawaza kama ulivyowaza wewe ila ni vitu vya kawaida sana.
Hii ni saa zaidi ya saa, roho ya paka mno kupita kiasiDaah, Aunt yangu alikuwa nayo tangu miaka ya 1997 mpaka leo
Mzigo ninachukulia Japan na sio china, pili nimeshaziuza hapa na naendelea kuziuza ungeshasikia minong'ono, ikumbuke hii akaunti yangu, ninauza Seiko Original tupu na ndio maana hata bei yake imechangamka. Ungekuta famba usingeuziwa kwa bei hiyo.Hiki ndicho kinachotutisha wabongo kununua vitu vya bei kubwa hapa nyumbani kutoka kwa unauthorised dealers.
Mchina ni mwingi sana mtaani hasa ukiwa kitu hukijui ni kugusa tu unajikuta umepigwa banzi.
Ndio hizo Rolex za china za 50,000.... 30,000 mpaka 20,000. Wanasema katika saa ambazo ziko juu sana ni Rolex. Bei ya Rolex unaweza kununua mpaka gari... Wengi wanavaa midosho ya china ya 30,000 halafu anaona amevaa Rolex hilo ndio tatizo.Nakumbuka faza alikuwa na rolex kama mbili ila sikuwahi kumkuta na saa hii
Yah mkuu ni sahihi.Mzigo ninachukulia Japan na sio china, pili nimeshaziuza hapa na naendelea kuziuza ungeshasikia minong'ono, ikumbuke hii akaunti yangu, ninauza Seiko Original tupu na ndio maana hata bei yake imechangamka. Ungekuta famba usingeuziwa kwa bei hiyo.
Saa nzuri sana nakumbuka miaka ya 70, 80.....