I never met him, but he made me proud to be a Tanzanian. Nimesema Tanzania kuna vichwa!
He was a good man, Nimekua na mtoto wake wa kiume (mdogo-Isaka) ambaye ni best friend wangu, nimekaa miaka minne UDSM nikiwa kiongozi na hayo makunji mengi jamaa ndiyo alikuwa msuluhishi mkubwa na mzuri. Ugomvi wa wa mwisho kuamua ulikuwa ni wa DARUSO kutaka kupinduliwa ambapo nilikuwa mmoja wa mawaziri.
Ukimkuta baa akipiga uraji basi yuko na watoto wa mjini wa aina zote rika na class zote, hakuwa na ubaguzi wala hakujiona msomi
Kifo chake kina story nyingi sana, ambazo mola tu ndiye anayejua ukweli.
I is the man who inspired me to a lot kwenye politics, alikuwa free thinker, Ana mtoto mkubwa wakiume ambaye yuko Citizen he is real doing good and his articles are challenging his name is Chambi Chachage
He was good, alichallenge tawala zote kwa akili na solutions, however, alikuwa mfuasi mzuri sana wa Nyerere,japo kuna wakati walihitilafiana katika ideology zao na kufanya watu wawe wana compare Nyererw anasema nini na Chachage aanasema nini! ila tawala zilizofuatia walimuona ni radical
JK alionana naye prior to presidential election, na hakuamini alipoona Chachage anampigia makofi! JK akasema
"kweli nakubalika hata chachage amenipigia makofi!!!" sijajua kama ukipigiwa makofi ndiyo kukubalika au... tuache hayo sikupata kumuuliza view zake kwa JK.
soma article moja hapa
Ujue mkuu na JKN wanaelekeana kivipi japo iko sahllow lakini itakuoa insight kuwa he was a man of integrity:
http://majimbokenya.com/home/2008/07/25/pan-africanism-how-chachages-vision-mirrors-that-of-mwalimu/
Ndio dunia wakuu tunapita