Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni chuo pekee ambachokinatoa mambo mnayoyashuhudia bungeni hasa katika hili bunge la katiba, takribani wahitimu 70 wameajiriwa kwenda kutafsiri lugha ya alama udsm mpo anzeni majigambo yenu hili hamkulijua muanzishe course muhimu na adimu,sekomuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu[/QUOTE
TOA HOJA YA MSINGI, HUONI KWAMBA UDSM WANGEANZISHA HIYO COURSE HAWA WA SEKOMU WANGEPATA AJIRA HUKO BUNGENI?:target:
Ni chuo pekee ambachokinatoa mambo mnayoyashuhudia bungeni hasa katika hili bunge la katiba, takribani wahitimu 70 wameajiriwa kwenda kutafsiri lugha ya alama udsm mpo anzeni majigambo yenu hili hamkulijua muanzishe course muhimu na adimu,sekomuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
huwezi kusema mhitimu wa sekomu anafanana na mhitimu nwa form four ilboru, huo ni utindio wa ubongo unaokusumbua ,dogo fanya utafiti wa kutosha sifa za kuingianvyuo vikuu ni principal pass mbili au equivalent, then sekomu nao hawajiongozi uliziz external examiner, wanaofikaga pale watakuambia kwa mfano wanafunzi wanaosoma PHYSICS pale wanafundishwa na Dr.Mliyuka wa uko UDSM na anappriciate juhudi za wanaphysicits wa SEKOMU acha majigambo ndo maana nikasema ud mtajigamba sana wazeeeeeeeeeeeeeeee wa kudiscoooooooooooooooooooooo
Duh! Sekomu iko wap?
Mhitimu wa shahada ya hki chuo ni sawa na form 4 ya ilboru.
Ni chuo pekee ambachokinatoa mambo mnayoyashuhudia bungeni hasa katika hili bunge la katiba, takribani wahitimu 70 wameajiriwa kwenda kutafsiri lugha ya alama udsm mpo? Anzeni majigambo yenu hili hamkulijua muanzishe course muhimu na adimu?,