Sekomu

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
Ni chuo pekee ambachokinatoa mambo mnayoyashuhudia bungeni hasa katika hili bunge la katiba, takribani wahitimu 70 wameajiriwa kwenda kutafsiri lugha ya alama udsm mpo? Anzeni majigambo yenu hili hamkulijua muanzishe course muhimu na adimu?,
 
Mhitimu wa shahada ya hki chuo ni sawa na form 4 ya ilboru.
 
SEKOMU? ndio nini? nashukuru nilifaulu vizuri form6 nikachaguliwa chuo bora na chenye jina! vyuo vingine ni aibu hata kutaja mbele za watu kama hiki SEKOMU ,
 
hivi una akili sawasawa kweli? umefanya utafiti wa kutosha kwanza?
 
huwezi kusema mhitimu wa sekomu anafanana na mhitimu nwa form four ilboru, huo ni utindio wa ubongo unaokusumbua ,dogo fanya utafiti wa kutosha sifa za kuingianvyuo vikuu ni principal pass mbili au equivalent, then sekomu nao hawajiongozi uliziz external examiner, wanaofikaga pale watakuambia kwa mfano wanafunzi wanaosoma PHYSICS pale wanafundishwa na Dr.Mliyuka wa uko UDSM na anappriciate juhudi za wanaphysicits wa SEKOMU acha majigambo ndo maana nikasema ud mtajigamba sana wazeeeeeeeeeeeeeeee wa kudiscoooooooooooooooooooooo
 
we size yako ni form two wa pale ilboru..
 
Mhitimu wa shahada ya hki chuo ni sawa na form 4 ya ilboru.

Cha msingi mwisho wa siku wote tunaajiriwa kama ni sekta ya ualimu huwa hawaangalii umesoma chuo gani wote mnapewa mshahara sawa.hata kama hiyo elimu ya sekomu ni sawa na form 4 ya iliboru
 
Ni chuo pekee ambachokinatoa mambo mnayoyashuhudia bungeni hasa katika hili bunge la katiba, takribani wahitimu 70 wameajiriwa kwenda kutafsiri lugha ya alama udsm mpo? Anzeni majigambo yenu hili hamkulijua muanzishe course muhimu na adimu?,

haahaahaa sekomu kipo wapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…