Wameiba na mtihani ili wapate socialempathy kwamba wako wanafanya kazi nzuri pamoja na tuhuma za scandal wanazopewa! Hivyo kufuatia matokeo hayo wasinyooshewe vidole kwa sana! Ni mkakati wa kupoza hasira za Wanan
chi!
Unaonekana wewe ni mwana barblro.suala la wizi wa mitihani sio suala kisiasa bali uhalifu wa kimfumo.
Usiwe unakwepa maswali magumu kwa majibu rahisi kwa kukimbilia siasa.
Wewe ingia mtandaoni tuwekee matokeo ya shule hii kwa mihula walau mitatu tu.
Na watu watakuelewa vizuri.
Vinginevyo watu watakuhisi kama sehemu ya usafishaji huu. Ahsante
Umekosea kuandika kichwa cha huu uzi ungeandika hivi Sekondari ya mpiga pesa za ESCROW Tibaijuka, imeongoza.
Acha utoto hizi picha ni zamani wakati ole mideye ndio naibu wake!!! Hapa sio fbHATIMAYE PROF. ANNA KAJUMULO TIBAIJUKA MAMA MSOMI KABISA NA MTETEZI WA WANYONGE NA WANAWAKE AENDA KUMKABIDHI OFISI YAKE YA WIZARA YA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI NDG. LUKUVI MAPEMA KABISA ILI AENDELEE NA KAZI YA KUWAHUDUMIA WANYONGE WANANCHI WAKE WA BUKOBA NA WANAWAKE WASIOWEZA KUPATA ELIMU BORA.
HILO LIMEJIDHIHIRISHA BAADA YA SHULE YAKE KUONGOZA KWA SOMO LA HESABATI NCHI NZIMA NAWALIOFAULU NI WATOTO WA WANYONGE WALIOPO LINDIMTWARA RUFIJI NA MAFIA.
WANGEKUA WALOFAULU SANA WANATOKABUKOBA WATU WANGEZUSHA KUWA NI UPENDELEO TENA WATU WANGEZUSHA HILO NI WALEWALE WABAYA WAKE WASIOWAPENDA WATANZANIA WAKIFANIKIWA KWA MAFANIKIO ALETAYO PROF. HUYU MSOMI MWENYE SIFA ZA KIMATAIFA .