Tangazo la Nafasi ya Kazi
Anahitajika Secretary Mwenye ujuzi wa miaka isiyopungua miaka 3 kazini, Awe amesoma kwenye vyuo vinavyotambulika hapa Tanzania au nje.
Umri usiopungua miaka 35 na usiozid miaka 50
Eneo la kazi: Bagamoyo
Mshahara ni maelewano
Tuma CV yako kupitia
sajocbc@gmail.com
0754827198 na 0657915822
Mwisho wa kupokea Maombi ni 23/04/2023 saa 4: Asubuhi