mbona wameshaitwa kwenye usaili japo sio wote, kwani hata wanaoendelea kufanya usaili sasa katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Manyara, Morogoro, Tanga, Kilimanjaro na Pwani ni wale waliotuma maombi mwezi Juni? kama una utafiti wa kutosha usiwe mwepesi kulaumu fuatilia ofisini kwao mbona ni wepesi sana kujibu maswali yenu?