sekretariati ya ajira yaweka mapandikiz kutetea maovu yao jamii forum

sekretariati ya ajira yaweka mapandikiz kutetea maovu yao jamii forum

Muarubaini

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
222
Reaction score
48
kuna watu wamewekwa hapa wanaitetea sekeretariat ya ajira kwa udi na uvumba. Hiv kwel nafasi zilizotangazwa tokea mwez may mpaka leo kimya wanaita tu watendaji wa vijiji, tuwaelewe vp? Mtihani na jibu vitu viwil tofauti. Nahis harufu ya kujuana na rushwa. Jaman hii nch ni yetu sote, kwa mnapendelea ndugu zenu!
 
mashirika yote ya serikali bot, tanapa, tanrod, muwekane. Tume ya ajira nayo changa la macho kama ilivyo taesa amboya hakuna wanachofanya zaidi kulipwa mishahara ya bure
 
hiv uliona wapi unaita watu wa taaluma tofauti kama sociology, education, hr. Account, law kwenye nafac ya academic officer alafu unauliza maswali purely ya education, kama sio changa la macho nini?
 
Hawa wajamaa wanathan hizi ni zama za Nyerere, kufumba akili za wananchi, Hii Tanzania tuna tabia ya kununuliwa ili kuosha majina na nafasi za wakubwa kwenye vitengo flani flani, fungukeni vijana acheni upofu wenu.
 
mimi mwenyewe nimeshangaa toka mwezi wa tano hadi leo..then wametoa siku nne. Nina uhakika wengi watakuja kushtuka usaili umeshafanywa
 
Back
Top Bottom