kuna watu wamewekwa hapa wanaitetea sekeretariat ya ajira kwa udi na uvumba. Hiv kwel nafasi zilizotangazwa tokea mwez may mpaka leo kimya wanaita tu watendaji wa vijiji, tuwaelewe vp? Mtihani na jibu vitu viwil tofauti. Nahis harufu ya kujuana na rushwa. Jaman hii nch ni yetu sote, kwa mnapendelea ndugu zenu!
mashirika yote ya serikali bot, tanapa, tanrod, muwekane. Tume ya ajira nayo changa la macho kama ilivyo taesa amboya hakuna wanachofanya zaidi kulipwa mishahara ya bure
hiv uliona wapi unaita watu wa taaluma tofauti kama sociology, education, hr. Account, law kwenye nafac ya academic officer alafu unauliza maswali purely ya education, kama sio changa la macho nini?
Hawa wajamaa wanathan hizi ni zama za Nyerere, kufumba akili za wananchi, Hii Tanzania tuna tabia ya kununuliwa ili kuosha majina na nafasi za wakubwa kwenye vitengo flani flani, fungukeni vijana acheni upofu wenu.