kingito
Member
- Sep 10, 2024
- 10
- 3
Mimi ni mwalimu tarajali mwenzenu wa level ya IIIA, ila kwa matokeo ya kiswahili yamenikatisha tamaa sana, hasa baada ya kuona waalimu wanaofundisha secondary somo la kiswahili kwa miaka zaidi ya mitatu wamefeli.
Hii ikanifanya nifanye utafiti mdogo usio rasmi na nipo tayari kukosolewa kama sitakuwa sawa. Nimefanya kama ifuatavyo:-
:- mtihani ulikuwa na maswali 25 kwa maana ya kwamba kila swali lina marks 4. Hivyo kila marks inatakiwa igawanyike kwa 4. Kwa mfano aliyeongoza ana 88÷4=22, yaani alipata maswali 22.
Kama hivyo ndivyo, napata mashaka na mfumo wa ugawaji haki wa hawa wanaotufanyisha usaili, yaani nahisi hawasahishi hii mitihani, ila aidha kuna watu wamesecure nafasi zao tayari hivyo sisi wengine tunatumika kuwasindikiza tu, au wanacommand mfumo (excel) ufanye autosellecting kwa namna wanavyoset, hivyo kupelekea kufaulu iwe kama kamali.
Kielelezo no1, page 87/533 mtahiniwa no, 3810 amepata 63. ie 63÷4=15.75.