pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Jaman leo tumetoka kufanya usahil post ya afisa mtendaj kata daraja la pil tulikuwa watu kama 90 maswal tulioulizwa ni yale walioulizwa wenzetu wa dsm cha kushangaza wamechukuwa watu watano tu wengne wamedai hawajapta kumbe wana agenda ya siri eti mtu wa kwanza ana 63 na wamefaulu watano labda mimi ni kilaza je hao wengine je? bora wangedanganya watu 30 wamefaulu mchujo wa kwanza ila 5 WIZI M2PU
Jaman leo tumetoka kufanya usahil post ya afisa mtendaj kata daraja la pil tulikuwa watu kama 90 maswal tulioulizwa ni yale walioulizwa wenzetu wa dsm cha kushangaza wamechukuwa watu watano tu wengne wamedai hawajapta kumbe wana agenda ya siri eti mtu wa kwanza ana 63 na wamefaulu watano labda mimi ni kilaza je hao wengine je? bora wangedanganya watu 30 wamefaulu mchujo wa kwanza ila 5 WIZI M2PU
Daah! hawa jamaa hata mm nimeshapoteza iman nao kabsa, jana archuga wamechukua watu nane tu kati ya 70 tuliopga hiyo interview. Nahic kuna ka mchezo kachafu kanaendelea.
mimi ndo huww nasema kila siku haiingii akilini et mtu anaita watu 100 anachukua 5 kwl???wengine wote hawana sifa??kwann wasiweke ratio kati ya wanaofanya interview na idadi ya watu ambao wanawataka??hii nchi sijui inaelekea wapi kwa kweli
Watanzania kuweni makini na kulalamika, sijui mnataka mfanyiwe zuri lipi? hawajamaa wanapotangaza kazi, wanapokea maombi kibao! nafasi tuseme wametangaza mbili, wanapokea maombi 600! wanachokifanya nikuchagua waombaji wenye sifa na kuwaita kwenye usahili! wanataita wote wenye minimum qualification ili kuondoa malalamiko ya kudai wanashortlist kwa upendeleo! wanataka kila mtu awe na nafasi sawa ya kushindana! Kama kati ya maombi 600 waliyopokea, watu 400 wanasifa, basi wataitwa wote! Na wanatoa mtihan wa mchujo ili kupata watu bora! kwenye mchujo huo uwa wanabakiza ratio ya 3:1, kila nafasi moja inagombaniwa na watu watatu! kwa mfano kama wanatakiwa watu 2 basi wanaoenda kwenye oral watakuwa ni 6 tu, wale waliofaulu juu kuliko wote! Jamaa wako fair, kama ilibidi wabaki watu 6 ila matokeo yakawa kawa ivi, nimepanga kutokana na max kubwa, 90 ,87,86,85,84,83,83,83,83,83,82 na kuendelea...basi watakaoienda oral ni 10! kwa kuwa wa sita wamefungana! na kama watatu tu ndo wamevuka 50, na wengine wakapata chini ya 50 basi watakao piga oral ni watatu tu mana serikali haichukui chini ya 50.
Nina iman tumeelewana! wanaita watu wengi ili kuwa na uwanja mpana wa kupata watu wazur! kitu cha maana ni kujiandaa vyema kabla ya kwenda kwenye writen interview! hachen kulalamika, vilaza nyie!!!
wewe ndo kilaza fisad shushu wa utumish kuna rafk zangu kibao wenye cfa hawajaitwa na si kwel kuwa wanaita wote pil hakuna haja ya nafas moja kuita watu mia moja kwani maana ya cv ni nin pitia cv chuz the best cal them acha kutetea uozo
Mimi naona secretariet wako sawa kabisa. ni bora kuita wote walioomba kufikisha mimimum qualification na wapewe paper ndio iwachuje. ukisema watumie CV sitakubali maana vyuo vya elimu ya juu vinatofautiana namna ya kutathimini wnafunzi. Unaweza ukakuta mwanafunzi wa chuo fulani ana First class ila ni bomu kuliko mwanafunzi wa chuo kingine ambaye ana second class lower. Pia CV huwa zinatengenezwa kwa uongo mwingi sana. hazisemi ukweli wakati wote. Je umewahi kufikiria michakato inayotumika vyuoni mpaka mtu kufaulu? hapo utasikia watu wametoa pesa kwa lecture wakapewa mtihani, madada wanatoa biology zao na kupewa mitihani, wakaka pia sikuhizi hufanya hivyo. wengine huwasiliana na malecturer wakiwaomba wasiwashike huku wakiahidi pesa.
Mtihani wa secretariate umegundua yote hayo na ndio maana wantoa mtihani upya. hapo marmoja pumba hujitenga na ngano. Kuhusu kuita wengi kwenye oral interview pia ni vizuri maana wengine ni wazuri kuandika lakini hawajui kujieleza. hapo wanakuwa na uwanja mpana wa kumpata mwenye kujua kujieleza pia.
Nyie mnaopinga ndio walewale wenye GPA kubwa huku mkiwa hamna kitu kichwani. au Baada ya kumaliza chuo mligawa material mkidhani kazi ya yale material ilikuwa ni kwa ajili ya mtihani tu, kumbe si kweli bali ni kwa ajili ya mtihani na zaidi ya yote kwa ajiri ya refence ukiwa kazini ili ufanye kama ulivyofundishwa. Kwendeni zenu huko
mimi ndo huww nasema kila siku haiingii akilini et mtu anaita watu 100 anachukua 5 kwl???wengine wote hawana sifa??kwann wasiweke ratio kati ya wanaofanya interview na idadi ya watu ambao wanawataka??hii nchi sijui inaelekea wapi kwa kweli
mkubwa ratio ambayo inaongelewa hapa ni kuwa baada ya watu kutuma maombi .wametuma watu 600 unahitaji 3 fine waite wote weka written exam ..chukua top list 6 ili kuwe na ratio flan angalau nafasi moja wanashindani watu 3 sio unaita watu 100 unataka 3 hapo ni kupotezea mda... huoni jinsi nhif walivyofanya kuna post moja walikuwa wanahitaji watu 3 ila walipokea maombi 100 walichofanya waliita watu kwnx written exam wakachukua watu 12 kila post inashindaniwa na watu 4 at least....sio unaita watu 100 unataka 3 jaman huko sio...