Local Mwalimu
Member
- May 12, 2019
- 16
- 17
msamehe vipi umecheki
aya sawaYeah nimecheki juu juu wanataka NIN na certificate uweke kwenye category husika.
Sijapitia yote coz sijatulia nikitulia nitapitia yote nisome mkuu...!
Fanya mind updates itakusaidia sana mkuu mambo yamebadilika siku hizi Veta ni Elimu kubwa kuliko ile Degree yako ya mass communicationElimu yeyote inayotolewa na VETA huwa considered kama si ya ushindani hivyo mjiajiri. Hushangai qualification uwe umemaliza Darasa la 7?
Mass communication ni complex issue ndiyo maana haifundishwi VETAFanya mind updates itakusaidia sana mkuu mambo yamebadilika siku hizi Veta ni Elimu kubwa kuliko ile Degree yako ya mass communication
ww jaribu kufuatilia matangazo ya kazi wanayo yatoa Elimu ya VETA ina dememnd kubwa kuliko izo digriiiElimu yeyote inayotolewa na VETA huwa considered kama si ya ushindani hivyo mjiajiri. Hushangai qualification uwe umemaliza Darasa la 7?
kabisa mtu anashindwa jibu kwa hoja nzuriFanya mind updates itakusaidia sana mkuu mambo yamebadilika siku hizi Veta ni Elimu kubwa kuliko ile Degree yako ya mass communication
veta inajitosheleza mkuu ina kila kitu hiyo mass communication ni somo wenzako wanasoma pamoja na ufundi narudia tena fanya mind updatesMass communication ni complex issue ndiyo maana haifundishwi VETA
Hv wadau katka kujaza zile detail kule ajiraportal pale kwenye Personal detail nimechanganya kwenye kile kipengele cha jinsi ,nimekuja kutambua Baada ya kuwa nimemaliza kila kitu,sasa kila nikjaribu kubadili hko kipengele hakitokei sasa nauliza kuwa inawezekana hii kitu kubadilika na kama inawezekana naanzia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app