Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Uzi nimeuona tangu jana ila sikutia neno.Uzi umekosa wachangiaji
Ipo tayari boss.Uzi nimeuona tangu jana ila sikutia neno.
Kwa kufupisha andiko lako, unataka watu wa mafuta na Gesi wawe na bodi yao ya kitaaluma?
Ipo hapa boss (Common Qualification System)Uzi nimeuona tangu jana ila sikutia neno.
Kwa kufupisha andiko lako, unataka watu wa mafuta na Gesi wawe na bodi yao ya kitaaluma?
Swali, anayetaja vigezo/sifa za mfanyakazi ni Mwajiri au PSRS?Ipo hapa boss (Common Qualification System)
Kuna wakati utumishi walikujaga chuo wakatuambia hizi qualifications zinaandaliwa na pande mbili(utumishi na taasisi husika)lakini kazi inapotangazwa qualifications zinaletwa na taasisiSwali, anayetaja vigezo/sifa za mfanyakazi ni Mwajiri au PSRS?
Sasa hii hoja ya mleta mada inabidi aielekeze kwa waajiri maana wao ndio wana nguvu ya kuandaa qualification za watu wanaowataka.Kuna wakati utumishi walikujaga chuo wakatuambia hizi qualifications zinaandaliwa na pande mbili(utumishi na taasisi husika)lakini kazi inapotangazwa qualifications zinaletwa na taasisi
Kipindi hicho qualifications zetu zilikuwa hazipo kwenye taasisi nyingi kwahiyo utumishi wakaenda kuandaa na taasisi mbali mbali qualifications zetu zikawepo kwenye taasisi hizo
Yes ishu ipo kwa mwajiri anapeleka yeye anataka watu gani ,waliosomea nini maana yeye ndo anaofanya nao kazi kuleSasa hii hoja ya mleta mada inabidi aielekeze kwa waajiri maana wao ndio wana nguvu ya kuandaa qualification za watu wanaowataka.
PSRS nadhani wanahusika kwenye kushauri zaidi na hawawezi kupindua kuhusu qualification maana mwajira ndio anataka mtu wa namna gani kulingana na kazi anayotaka akasaidiwe