Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
AYA SASA MAMA ABDUL ANAZIDI KUWEKA MAMBO YA HAKI BIN HAKIOfisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imefanya maboresho katika mfumo wa Ajira Portal kuwezesha upatikanaji wa taarifa za matokeo ya usaili wa mahojiano ya ana kwa ana (Oral interview.)
Wale waliofaulu na kuhifadhiwa kwenye Databank wamepata status za “Passed and stored into Databank”
Wasailiwa ambao hawakufaulu usaili wamepata ujumbe wa “Scored below average passmark”.
Wote ambao wako kwenye databank na wasipopata ajira baada ya muda wa mwaka mmoja watapata ujumbe wa “databank has been expired”.
Pia soma
~ UTUMISHI waweke utaratibu wanaofauli usaili na kukosa nafasi wapewe kipaumbele katika ajira mpya
~ Waliofanya usaili wa LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya Ajira 17/12/2025 walifeli wote?
Africa chochote kinawezekana haaahaa 😊 ☺️AYA SASA MAMA ABDUL ANAZIDI KUWEKA MAMBO YA HAKI BIN HAKI