A
Anonymous
Guest
Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma inapaswa kuweka alama za ufaulu (passmark) kabla ya mitihani kufanyika. Hiki kimekuwa kilio cha watanzania wengi sana .
Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma wanaweka alama za ufaulu baada ya mitihani kufanyika, Kwanini wasitangaze alama za ufaulu kabla ya mitihani kufanyika?
Ni kitu gani kimejificha nyuma ya pazia? Kwa sababu tumeshazoea toka tukiwa elimu ya msingi, sekondari na hata vyuo vya kati na vyuo vikuu alama za ufaulu zinatangazwa kabla ya mitihani na siyo baada ya mitihani.
Kwa hiyo tunaomba kuelekea usaili wa ajira za ualimu passmark (alama za ufaulu) zitangazwe kabla ya mitihani kufanyika.
Kwa sababu tumeona katika usaili mbalimbali uliofanyika kimekuwa na kiwango tofauti cha passmark kulingana na vitengo vilivyopoa.
Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma inapaswa kuweka passmark bila kujali idara au SEKTA ya watahiniwa ili wasailiwa wajue kabla ya mitihani.
Kama ni marks 50 au 60 ifahamie ili kuondoa ukakasi kwenye suala hili nyeti.