Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
Sekretarieti ya Mkoa Wa Kagera Ikiongozwa na Katibu Wa Chama cha Mapinduzi Ccm Mkoa Wa Kagera Imeanza Ziara ya Kukutana Na Wazee Wa Wilaya Zote zilizopo Mkoani Kagera Kwa Lengo
Akiongea na baadhi ya Wazee Wa Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera Katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Ccm Zilizopo Kata Ya Kyaka Wilayani Humo Katibu Wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Wa Kagera Ndg Devid Mollel Amesem Kuwa Anawapongeza Wazee wa Wilaya Ya Missenyi Kwa Kuitikia Wito Huo na Kukutana Na Viongozi wa Chama.
Ndg Mollel Ameendelea Kuwaomba Wazee Wa Missenyi na Mkoa Wa Kagera Kufanya Uchambuzi Mzuri Kwa Wagombea Ambao watakuja Kutia Nią Katika Uchaguzi Mkuu Ambao Unatakiwa Kufanyika Mwezi Wa Kumi Ukiwemo Uchaguzi Wa Madiwani,Wabunge na Rais Ili Waweze Kupata Viongozi Bora Watakao waletea Maendeleo Kwa Wakati.
“Wazee Tafteni Viongozi wanaouzika Kwa Wananchi Ili tuweze Kupata Viongozi wazuri Ambao wataleta Maendeleo Kwa Wananchi Tusipofanya hivyo Tutapigwa na Sisi Kama Chama cha Mapinduzi Hatutaki kupingwa”Amesema Katibu Wa Ccm Mollel
Ameendelea Kuwaomba Vijana Wanaotaka Kugombea Uongozi Kupitia Chama Cha Mapinduzi Na Kusema Kuwa Cheo Kinachotafutwa ni Kimoja Kupitia Udiwani,Ubunge
Kwa Upande wake Wazee Wa wilaya ya Missenyi Wamesema Kuwa Wanampongeza Mwenyekiti Wa Chama cha Mapinduzi Ccm Taifa Na Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani Kwa Kupitishwa Na Wajumbe Wa Halmashauri Kuu ya Ccm Taifa Na Kumpitisha Dkt Emmanuel Nchimbi Kuwa Mgombea Mwenza Katika Uchaguzi Mkuu Ujao
“Sisi Wazee Wa Wilaya Ya Missenyi Tunawapongeza Wajumbe Kwa Kumpitisha Rais na Sisi Tunasema Tunampa Kura Za Ndio Kwa Uchaguzi Huu Ambao unatakiwa Kufanyika Mwaka Huu”wamesema Wazee Wa Wilaya Missenyi.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025