Sekretiati ya Ajira inabidi ijitathimini au ibadilishwe

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Nina mashhaka nabutendaji kazi wa hii sector ni kama imekosa watu wenye upeo wa mambo

Hivi kama unahitaji watu 100 kada x halafu wahitimu wa hio kada from 2015--2017 roughly ni 20,000 wewe kwenye tangazo unasema wote waaply hadi wahitimu wa 2023 ili iweje. ,wanakuja kuaaply watu 45,000. wakat wa 2015 wenye sifa ni ni 10,000+(wote wanaaply hadi 2023)

Baadla ya kuweka kigezo cha umri na mwaka wa kumaliza chuo ili kupunguza gharama za mchakato nabkufipisha muda

Leo mchakato wa ajira unachukua wastani wa miezi 5 kukamilika
 
nina mashhaka nabutendaji kazi wa hii sector ni kama imekosa watu wenye upeo wa mambo

ivi kama unahitaji watu 100 kada x halafu wahitimu wa hio kada from 2015--2017 roughly ni 20,000 wewe kwenye tangazo unasema wote waaply hadi wahitimu wa 2023 ili iweje. ,(wote wanaaply hadi 2023)

baadla ya kuweka kigezo cha umri na mwaka wa kumaliza chuo ili kupunguza gharama za mchakato nabkufipisha muda

leo mchakato wa ajira unachukua wastani wa miezi 5 kukamilik
Ni shida tu yaani tunaongozwa na wenye IQ ndogo Sana. Tutafika tumechoka Sana kama taifa
 
nina mashhaka nabutendaji kazi wa hii sector ni kama imekosa watu wenye upeo wa mambo

ivi kama unahitaji watu 100 kada x halafu wahitimu wa hio kada from 2015--2017 roughly ni 20,000 wewe kwenye tangazo unasema wote waaply hadi wahitimu wa 2023 ili iweje. ,(wote wanaaply hadi 2023)

baadla ya kuweka kigezo cha umri na mwaka wa kumaliza chuo ili kupunguza gharama za mchakato nabkufipisha muda

leo mchakato wa ajira unachukua wastani wa miezi 5 kukamilika
Kwa wakati huu ajira ni bahati. Kama kungekuwa na mpango wa kuajiri kila wakati kungekuwa miaka ya kuhitimu. Sikuhizi hata ajira za chini kabisa zina vimemo. Pambana upate alama ambazo hata boss wako ashindwe kumuweka mpwa wake.
 
Ni shida tu yaani tunaongozwa na wenye IQ ndogo Sana. Tutafika tumechoka Sana kama taifa

Kwa wakati huu ajira ni bahati. Kama kungekuwa na mpango wa kuajiri kila wakati kungekuwa miaka ya kuhitimu. Sikuhizi hata ajira za chini kabisa zina vimemo. Pambana upate alama ambazo hata boss wako ashindwe kumuweka mpwa wake.
huwez kusema hivo ni dalili ya inferiority kwa nini iwe bahat
 
Back
Top Bottom