Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Ni shida tu yaani tunaongozwa na wenye IQ ndogo Sana. Tutafika tumechoka Sana kama taifanina mashhaka nabutendaji kazi wa hii sector ni kama imekosa watu wenye upeo wa mambo
ivi kama unahitaji watu 100 kada x halafu wahitimu wa hio kada from 2015--2017 roughly ni 20,000 wewe kwenye tangazo unasema wote waaply hadi wahitimu wa 2023 ili iweje. ,(wote wanaaply hadi 2023)
baadla ya kuweka kigezo cha umri na mwaka wa kumaliza chuo ili kupunguza gharama za mchakato nabkufipisha muda
leo mchakato wa ajira unachukua wastani wa miezi 5 kukamilik
Kwa wakati huu ajira ni bahati. Kama kungekuwa na mpango wa kuajiri kila wakati kungekuwa miaka ya kuhitimu. Sikuhizi hata ajira za chini kabisa zina vimemo. Pambana upate alama ambazo hata boss wako ashindwe kumuweka mpwa wake.nina mashhaka nabutendaji kazi wa hii sector ni kama imekosa watu wenye upeo wa mambo
ivi kama unahitaji watu 100 kada x halafu wahitimu wa hio kada from 2015--2017 roughly ni 20,000 wewe kwenye tangazo unasema wote waaply hadi wahitimu wa 2023 ili iweje. ,(wote wanaaply hadi 2023)
baadla ya kuweka kigezo cha umri na mwaka wa kumaliza chuo ili kupunguza gharama za mchakato nabkufipisha muda
leo mchakato wa ajira unachukua wastani wa miezi 5 kukamilika
Ni shida tu yaani tunaongozwa na wenye IQ ndogo Sana. Tutafika tumechoka Sana kama taifa
huwez kusema hivo ni dalili ya inferiority kwa nini iwe bahatKwa wakati huu ajira ni bahati. Kama kungekuwa na mpango wa kuajiri kila wakati kungekuwa miaka ya kuhitimu. Sikuhizi hata ajira za chini kabisa zina vimemo. Pambana upate alama ambazo hata boss wako ashindwe kumuweka mpwa wake.