sekrtarieti ya ajira hili tangazo lenu mtakuwa mmekosea

sekrtarieti ya ajira hili tangazo lenu mtakuwa mmekosea

evangelical

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
5,035
Reaction score
8,218
kuna ajira mmetangaza
kwenye nafasi ya kazi ya udereva zile sifa za
dereva mnayemtaka kwamba awe amesoma kozi ya mwaka mmoja basic certificate ya udereva , sijawai kusikia kozi hiyo ya mwaka 1
ni vyema mkasahiisha lasivyo mmewachanganya vijana

kuna mmoja kaniuliza bro kuna chuo hapa bongo kinatoa kozi ya udreva kwa muda wa mwaka mmoja?, nikamjibu vyuo vingi kozi ya udereva ni wiki 4 tu

"1.0.63 QUALIFICATION AND EXPERIENCE
• Secondary Education Certificate with passes in Kiswahili and English
• Valid Driving License Class C or E and
• One-year Basic Driving Course plus driving experience of at least one year without causing accidents.
• Possession of Trade Test Grade II/Level II in Motor Vehicle Maintenance/Mechanics is an added advantage. "

Nimeshasoma kwenye matangazo yenu ya kazi za madreva mnaeleza sifa zifuatazo

"Holder of Form iv certificate and class c1,or E driving licence who has attended course offered by VETA or any recognized institution with driving experience of at least one year without causing accidents. Possession of Trade Test 11 in motor vehicle maintenance is an added advantage

Tangazo lenyewe lenye makosa hilo hapo chini

 
Omba kama sifa zako.zimezidi unashinda?

Ndio maana ya.competitive advantage
Screenshot_20211215-225942_Drive.jpg
 
Hahaha siwezi kuomba hiyo kazi mkuu
naomba nisaidie chuo kinachotoa basic driving certificate kwa mwaka mmoja.
labda wanataka certificate wa mechanical engineer kwa mgongo wa driving license
 
Back
Top Bottom