Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Mimi siyo mchumi wala sijasomea mambo ya biashara ila kwa trend ninayoiona namna tunavyoenenda, kuna haja ya kuunda chombo cha kuwashauri wote SEKTA BINAFSI na SERIKALI kuhusiana na mambo ya biashara, kama hakipo. Chombo hiki kiunndwe na watu kutoka ngazi za juu serikalini waliobobea kwenye mambo ya uchumi/ biashara pamoja na walre viongozi wa sekta binafsi yenyewe.
Kama chombo hiki kipo, basi naomba radhi kwa ushauri ambao hauna tija!
Kama chombo hiki kipo, basi naomba radhi kwa ushauri ambao hauna tija!