kuna PRIVATE SECTOR FOUNDATION (PSF) NA BARAZA LA BIASHARA AMBALO MWENYEKITI WAKE BILA KUKOSEA NI MH RAISI WETUMimi siyo mchumi wala sijasomea mambo ya biashara ila kwa trend ninayoiona namna tunavyoenenda, kuna haja ya kuunda chombo cha kuwashauri wote SEKTA BINAFSI na SERIKALI kuhusiana na mambo ya biashara, kama hakipo. Chombo hiki kiunndwe na watu kutoka ngazi za juu serikalini waliobobea kwenye mambo ya uchumi/ biashara pamoja na walre viongozi wa sekta binafsi yenyewe.
Kama chombo hiki kipo, basi naomba radhi kwa ushauri ambao hauna tija!
Najua kuwa vyombo hivi vipo, lakini sidhani kama vipo kwa ajili ya kushughulika na specific cases tu, japo pia ni mojawapo ya kazi zake. Mimi ushauroi wangu kuwa kuwe na timu ya watu wachache tu watakaokuwa wanashughulikia hasa swala la kuangalia bei ya walkulima wetu kwenye masoko ya dunia, na kwa mazao yote, yaani wa-specialize kwenye issue ya bei tu na kazi yao iwe hiyo moja tu, halafu wanatoa feedback kwa wote, Serikali na wafanya biashara.kuna PRIVATE SECTOR FOUNDATION (PSF) NA BARAZA LA BIASHARA AMBALO MWENYEKITI WAKE BILA KUKOSEA NI MH RAISI WETU
Kuna bodi za mazao - Kahawa. Tumbaku, Korosho, Pamba, Pareto, Sukari na nyinginezo nyingi tuu. Mambo mengine yako nje ya uwezo wetu mfano suala la bei ya korosho, google uoni ni tatizo la dunia na si Tanzania pekeeNajua kuwa vyombo hivi vipo, lakini sidhani kama vipo kwa ajili ya kushughulika na specific cases tu, japo pia ni mojawapo ya kazi zake. Mimi ushauroi wangu kuwa kuwe na timu ya watu wachache tu watakaokuwa wanashughulikia hasa swala la kuangalia bei ya walkulima wetu kwenye masoko ya dunia, na kwa mazao yote, yaani wa-specialize kwenye issue ya bei tu na kazi yao iwe hiyo moja tu, halafu wanatoa feedback kwa wote, Serikali na wafanya biashara.
Ni kweli, Demand and Supply forces nazielewa kiasi. Kiasi uchumi nimesoma mpaka kwenye ngazi ya diploma, nina diploma ya uhasibu kutoka pale TIA. Kwa namna nilivyomsikiliza Rais juzi akiongea na wafanyabiashara, lkuna kitu! Aidha ni some sort of monoploy situation ambaya inakuwa artuficially created (haitokani market forces) ili ku-justify kuwa bei kwenye soko la dunia iko chini or something similar. Anyway sijui. Na hii technology ku-advance na kufikia hatua ya kufanya dunia kuwa kijiji, sometimes nayo inaweza kuwa ni set-back kubwa inapokuja kwenye maswala kama haya. Mimi ninachoamini ni kuwa serikali juzi haikuamua kukutana na wafanyabiashara kwa bahati mbaya, kuna kitu! Kuna kitu!Kuna bodi za mazao - Kahawa. Tumbaku, Korosho, Pamba, Pareto, Sukari na nyinginezo nyingi tuu. Mambo mengine yako nje ya uwezo wetu mfano suala la bei ya korosho, google uoni ni tatizo la dunia na si Tanzania pekee