The Global Fund siyo mufko wa Wamarekani NO! Global Fund ni mfuko wa UN ulioanzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati Koffi Annan (RIP) akiwa Katibu Mkuu. Ni personal initiative ya Koffi Annan aliyoiona ni nzuri ku-pursue akiwa Katibu Mkuu wa UN by then kwa Waafrika wenzie ambao walikuwa hawaezi ku-afford medical costs za HIV/ AIDS ambazo zilkuwa sky rocketing.Marekani anasaidia masikini kwenye masuala ya afya hata kama anapinga naye. Juzi tu Iran naye kapewa upenyo wa kuagiza dawa na vifaa tiba. Usishangae huu mfuko wa Global Fund ambao ni wa hao hao marekani kusaidia masikini kama Tanzania kwenye masuala ya afya
Hiyo cocacola na bill & melinda ni ya wapi? Magogoni?The Global Fund siyo mufko wa Wamarekani NO! Global Fund ni mfuko wa UN ulioanzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati Koffi Annan (RIP) akiwa Katibu Mkuu. Ni personal initiative ya Koffi Annan aliyoiona ni nzuri ku-pursue akiwa Katibu Mkuu wa UN by then kwa Waafrika wenzie ambao walikuwa hawaezi ku-afford medical costs za HIV/ AIDS ambazo zilkuwa sky rocketing.
Lakini Mfuko huu huwa vyanzo vyake vya hela ni donations toka kwa mashirika makubwa duniani kama The Cocacola, Bill & Melinda Gates, nk
Naona taratibu unaanza kujitenga na unafikiKiukweli hizi Taasisi za Marekani zinavyotusaidia, mfano US Aid, Global Fund, Millennium Challenge Account, etc, wanatusaidia sana, ni kama malaika mkombozi fulani mfano watu wangejua gharama za vidonge vya ARV, Kifua Kikuu na Ukoma, na kujua ni Marekani wanatupa bure na sisi tunazigawa bure, hivyo nchi kama Marekani, Uingereza, EU wanapotusaidia, tunawaita ni nchi wahisani au nchi wafadhili ila pale wanapotukosoa kwa madudu yetu, then wanageka ni mabeberu!. Hivyo mtu mmoja yule yule akifanya mema ni malaika, akifanya mabaya ni shetani!.
P
Global fund ni mfuko chini ya UN si marekaniKiukweli hizi Taasisi za Marekani zinavyotusaidia, mfano US Aid, Global Fund, Millennium Challenge Account, etc, wanatusaidia sana, ni kama malaika mkombozi fulani mfano watu wangejua gharama za vidonge vya ARV, Kifua Kikuu na Ukoma, na kujua ni Marekani wanatupa bure na sisi tunazigawa bure, hivyo nchi kama Marekani, Uingereza, EU wanapotusaidia, tunawaita ni nchi wahisani au nchi wafadhili ila pale wanapotukosoa kwa madudu yetu, then wanageka ni mabeberu!. Hivyo mtu mmoja yule yule akifanya mema ni malaika, akifanya mabaya ni shetani!.
P
Usiropoke vitu ambavyo huvijui kwa watu waliokuzidi upeo na maarifa. Trump ana nguvu tu kwenye misaada inayokuja kupitia CDC, PMI na USAID kwa kupitia Congress/ Senate na michango ya Serikali ya US. Michango ya Kiserikali ipo kwenye Global Fund lakini ya makampuni binafsi ndi yo yenye mchango mkubwa. Mada zingine muwe mnasoma kwa ajili ya kupanua uelewa, siyo lazima uandike mradi uonekane na wewe unandikaHiyo cocacola na bill & melinda ni ya wapi? Magogoni?
Kwa taarifa yako Trump anauwezo wa kuwambia hao melinda na coca wasitoe mchango huko global fund na wakafanya hivyo bila kupepesa macho
Anaefadhili UN ni nani? UN ni mali ya nani?
Mkuu mwenye kuifadhili UN ni nani? Nani ni the biggest funding member wa UN.Usiropoke vitu ambavyo huvijui kwa watu waliokuzidi upeo na maarifa. Trump ana nguvu tu kwenye misaada inayokuja kupitia CDC, PMI na USAID kwa kupitia Congress/ Senate na michango ya Serikali ya US. Michango ya Kiserikali ipo kwenye Global Fund lakini ya makampuni binafsi ndi yo yenye mchango mkubwa. Mada zingine muwe mnasoma kwa ajili ya kupanua uelewa, siyo lazima uandike mradi uonekane na wewe unandika
Kiukweli hizi Taasisi za Marekani zinavyotusaidia, mfano US Aid, Global Fund, Millennium Challenge Account, etc, wanatusaidia sana, ni kama malaika mkombozi fulani mfano watu wangejua gharama za vidonge vya ARV, Kifua Kikuu na Ukoma, na kujua ni Marekani wanatupa bure na sisi tunazigawa bure, hivyo nchi kama Marekani, Uingereza, EU wanapotusaidia, tunawaita ni nchi wahisani au nchi wafadhili ila pale wanapotukosoa kwa madudu yetu, then wanageka ni mabeberu!. Hivyo mtu mmoja yule yule akifanya mema ni malaika, akifanya mabaya ni shetani!.
P
Global fund Ni pesa ya beberu mmarekani kwa 80%Kiukweli hizi Taasisi za Marekani zinavyotusaidia, mfano US Aid, Global Fund, Millennium Challenge Account, etc, wanatusaidia sana, ni kama malaika mkombozi fulani mfano watu wangejua gharama za vidonge vya ARV, Kifua Kikuu na Ukoma, na kujua ni Marekani wanatupa bure na sisi tunazigawa bure, hivyo nchi kama Marekani, Uingereza, EU wanapotusaidia, tunawaita ni nchi wahisani au nchi wafadhili ila pale wanapotukosoa kwa madudu yetu, then wanageka ni mabeberu!. Hivyo mtu mmoja yule yule akifanya mema ni malaika, akifanya mabaya ni shetani!.
P
Kiukweli hizi Taasisi za Marekani zinavyotusaidia, mfano US Aid, Global Fund, Millennium Challenge Account, etc, wanatusaidia sana, ni kama malaika mkombozi fulani mfano watu wangejua gharama za vidonge vya ARV, Kifua Kikuu na Ukoma, na kujua ni Marekani wanatupa bure na sisi tunazigawa bure, hivyo nchi kama Marekani, Uingereza, EU wanapotusaidia, tunawaita ni nchi wahisani au nchi wafadhili ila pale wanapotukosoa kwa madudu yetu, then wanageka ni mabeberu!. Hivyo mtu mmoja yule yule akifanya mema ni malaika, akifanya mabaya ni shetani!.
P
Main funder wa GF Ni USAGlobal Fund sio taasisi ya US, naona kila MTU anasema Global Fund ni Taasisi ya Kimarekani, huu ni mkusanyiko wa nchi mbali mbali ambapo kwa Africa nakumbuka kama miaka miwili hivi Nigeria walikua wanachangia pia.
Mwaka 2018 kwenye Mkutano wa Global Fund mmojawapo nadhani ulifanyika Myanmar Tanzania waliahidiwa kupata mgawo wa jumla kama 3 trilioni kwa kipindi cha miaka mitano.
Mkutano wa Global Fund mwaka Jana ulifanyika Rwanda- Africa.
Tusichanganye Global Fund na miradi au taasisi za Kimarekani
Sent using Jamii Forums mobile app
The Global Fund siyo mufko wa Wamarekani NO! Global Fund ni mfuko wa UN ulioanzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati Koffi Annan (RIP) akiwa Katibu Mkuu. Ni personal initiative ya Koffi Annan aliyoiona ni nzuri ku-pursue akiwa Katibu Mkuu wa UN by then kwa Waafrika wenzie ambao walikuwa hawaezi ku-afford medical costs za HIV/ AIDS ambazo zilkuwa sky rocketing.
Lakini Mfuko huu huwa vyanzo vyake vya hela ni donations toka kwa mashirika makubwa duniani kama The Cocacola, Bill & Melinda Gates, nk
Hiyo cocacola na bill & melinda ni ya wapi? Magogoni?
Kwa taarifa yako Trump anauwezo wa kuwambia hao melinda na coca wasitoe mchango huko global fund na wakafanya hivyo bila kupepesa macho
Kuna beberu na mabeberu, Global Fund imekuwa set up na mabeberu na ndio wanachangia zaidi.Global Fund sio taasisi ya US, naona kila MTU anasema Global Fund ni Taasisi ya Kimarekani, huu ni mkusanyiko wa nchi mbali mbali ambapo kwa Africa nakumbuka kama miaka miwili hivi Nigeria walikua wanachangia pia.
Mwaka 2018 kwenye Mkutano wa Global Fund mmojawapo nadhani ulifanyika Myanmar Tanzania waliahidiwa kupata mgawo wa jumla kama 3 trilioni kwa kipindi cha miaka mitano.
Mkutano wa Global Fund mwaka Jana ulifanyika Rwanda- Africa.
Tusichanganye Global Fund na miradi au taasisi za Kimarekani
Sent using Jamii Forums mobile app
No hatumtukani mmoja na kumpenda mwingine bali mmoja huyo huyo, wakati akitusaidia, ni nchi rafiki, ni donor country, ni development partner, ila akitukosoa kwa kutofuata good governance, poor human rights records na repressive laws, tunamuita beberu.Global fund Ni pesa ya beberu mmarekani kwa 80%
Lakini sisi tutamtukana mmoja na kumpenda mwingine
Hawa jamaa Ni kitu moja
Kuna beberu na mabeberu, Global Fund imekuwa set up na mabeberu na ndio wanachangia zaidi.
Kama ilivyo kwa General Budget Support Fund kwa Tanzania, kupitia Basket Funding, inachangiwa na several developments partners, UK inachangia 80%, sasa kama UK ni beberu, fedha za General Budget Support ni fedha za mabeberu!.
P