SoC04 Sekta ya elimu inaitaji marekebisho makumbwa

SoC04 Sekta ya elimu inaitaji marekebisho makumbwa

Tanzania Tuitakayo competition threads

Blackywhi

New Member
Joined
Jun 18, 2024
Posts
1
Reaction score
0
1 elimu tulio nayo atuna uhitaji nayo kwa sasa. tuzalishe watoto wenye ujuzi mbali mbali wasome Toka darasa la 5

2 tupuguze muda wa kukaa darasani muda mwingi wa kusoma unafanya elimu isiwe na msaada tena unakuja kuanza kazi unamajukumu mengi umri pay umesha kuacha

3 mtoto anapo fika darasa la 5 ahanze kusoma somo moja la ujuzi kama ni mifugo asome mifugo tu kama n dockta asome udockta tu kupunguza kusoma mambo mengi tusiyo yafanyia kazi

4 tuwena maabara kila shule ili kila mtoto asome kwa vitendo na so makaratasi kama n magar mtoto asome kwa vitendo kama n umeme asome kwa Vitendo

5 baada ya miaka 15 tutakuwa tumezalisha watu wenye ujuzi mbali mbali pya watasaidia uchumi kwakutengeneza vitu mbali mbali badala ya kuwa na machinga wanao uza bizaa za China watakuwa wanauza bizaa za Tanzania

6 Serekali weke mfumo mnzuri kwa wawekezaji wa viwanda wapunguze codi kwa biza zinayo zalishwa Tanzania

7 wapige marufuku kwa bizaa kutoka nnje Ambazo tunauwezo nazo kwa uzalisha ji
Bada ya apo akuna nchi ya isti African itatufata kwa uchu baada ya miaka 25
 
Upvote 2
Back
Top Bottom