BARAKAS SANGA
New Member
- May 13, 2024
- 3
- 2
Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo tofauti nchini Tanzania ni kuboresha miundombinu ya barabara zetu ambazo ndio chachu ya maendeleo kwa kiasi kikubwa kwani itapelekea Watu kuwahi katika maeneo yao ya kazi na shughuli zao na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla nashauri serikali ingetengeneza barabara za waenda kwa miguu na waendesha baiskeli kufuata nguzo kubwa za umeme wa gridi ya Taifa kwani maeneo yale yatasaidia Watu kutembea kwenda kwa baiskeli itapunguza pia ajali za barabarani tuyatumie maeneo hayo yaliyopitiwa na nguzo mfano nguzo zinapeleka umeme Ubungo gas plant chini yake kuna maeneo mazuri tunayoweza kutengeneza njia mbadala za waenda kwa miguu na waendesha baiskeli badala ya kuyaacha vichaka na Watu kulima na kuingia migogoro na shirika la umeme Tanzania.
Tanzania tuitakayo. Sanga Barakas.
Tanzania tuitakayo. Sanga Barakas.
Upvote
1