Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Wenye akili tumekuelewa
 
Kama ripoti za CAG zitafanyiwa lazima wez kupelekwa kunakohusika hiyo Kasi itapungua.
Wevi wa kitanzania hawawazi kuwekeza kwenye viwanda, hiyo wamewaachia wachina na wahindi. Mtanzania akishakwapua mijihela anajenga rentals, au ananunua Basi au mende au petrol station. Wengine wanajenga bar.
Hata soko la hisa wanakuogopa'.
Sisi wengine tunaongeza michepuko au kuoa mke wa pili.
 
Mawazo potofu πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/kibiki001/status/1830908183319081030?t=e94bW5Mt72qzwlYolXHTtA&s=19
 
Mama hoyeee mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…