Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Kwahiyo, hiyo namba moja ya miradi iliyokwama tangu 2018, mnawasema marehemu?
 
Hizo ndiyo hela za wastaafu mwisho wa siku wanakufa kwa presha baada ya kupigwa danadana
 
Nina wasiwasi na miradi kama hii ya serikali,uzoefu unaonyesha itaishia kuwa magofu tuu na vichaka vya vibaka, na unaharibu prime area kama Kawe kwa kujenga cheap houses na sijui kama kuna barabara na infrastructure za kuhudumia nyumba zote hizo, soon Kawe itageuka GHETTO
 
Hata Jiji la Mbeya nyumba zimepanda bei🀣🀣
 
Wapi huko ambako uzoefu umeonesha nyumba zimegeuka magofu?

Cheap houses zinazojengwa Kawe ni zipi hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…