Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Jadili hoja acha ujinga
Mnapenda sera za kikomunist ndio maana umaskini hauishi, acheni watu wajenge nyumba zao, mambo ya serikali kujenga nyumba ni kuharibu resources, watumie hizo billions kwa infrastructures, kutoa mikopo rahisi kwa wasiojiweza na kuweka strong housing policies zinazoeleweka ili miji yetu na makazi ieleweke, kama kuna maslahi na mazingira mazuri bila longolongo billions binafsi zitamwagika tuu na hizo nyumba zitajengwa mara milioni
 
Samia has get out of sera za kikomunisti ndio maana Kwa Sasa seheria ya Ubia na sekta binafsi kwenye ujenzi wa nyumba na majengo ya biashara imeanzishwa.

Pia wageni wanaweza miliki nyumba tofauti na hapo awali.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB0C4nqIiOP/?igsh=bDJkbDJnMG9xaHhp
 
Master plani wapo sifa ziende kwao pia, sema yeye Sa100 karuhusu iendelee, Mwendazake alisimamisha ili Chato kujengwe kwanza. Kumbuka mijengo ilianza baada ya kichwa kukamata NHC,
 
Wacha porojo zako wewe,Ili kumpaka Mafuta Mwendazake.SSH hana wa kufananisha kwenye delivery 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB0WNB3sALN/?igsh=MWhzdjJmYnB0dW1reg==
Nimekuambia master plan, wapo/yupo mfano huyu aliepanda mbegu{ Msechu} kama hutaki acha. Rais atasifiwa kwa kuruhusu jambo hilo liendelee na alimrejesha huyu jamaa kwenye mfumo ndio akaendeleo kutoa madini yake. Magu mwanzo alikubali ila baadae akasimamisha ili Pesa ziende huko zilipokwenda kujenga.
 
Bei ya nyumba ikishuka jua uchumi uko hoi bin taabani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…