Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Miradi yote ya kifisadi iliyopigwa marufuku kipindi kile Kwa Sasa inaendelezwa kifisadi.duh! hatari sana hii awamu ya mama Yao.
 
Hivi unajua hii ni sehemu nzuri ya kutakatishia pesa chafu
 
Hivi unajua hii ni sehemu nzuri ya kutakatishia pesa chafu
Kama pesa chafu inatakatishwa Kwa kujenga Nchi Kuna shida gani? Pesa safi isiyojenga Nchi ya nini Sasa? 🀣🀣
 
Kwa Sasa ni Watanzania,sheria yetu hiruhusu Wageni kumiliki nyumba ila kupanga ndio maana NHC inataka Serikali ibadili sheria Ili Wageni waruhisiwe kumiliki Ardhi/nyumba

Wageni wamiliki ardhi ili iweje bro. Ardhi ni nchi. Maana viwanja kadhaa vikikusanywa vinatengeneza kitalu. Vitalu kadhaa vikikusanywa vinatengeneza mtaa/kitongoji. Mitaa/vitongoji kadhaa vikiwa pamoja vinaleta vijiji/kata. Vijiji/Kata zikiwa pamoja zinaleta tarafa, baada ya hapo wilaya, mkoa nchi. Sasa suala la ardhi usilichukulie kama kumiliki magari au nashuka. Lina maanisha nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…