Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Hakika imefufuka 👇👇

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1876146092733038806?t=x1jSI86PSAkbsgIYP9kU-A&s=19
 
Nilipongeze shirika la nyumba kwa huu ubunifu. Kwa kweli wamechelewa sana. Baadhi ya miji ilikuwa ikidumazwa na magofu na majengo chakavu ya NHC ambayo yapo katikati ya mji hasa Morogoro, Tabora na Tanga. Endeleeni kuyaondoa hayo majengo miji ikue na ibadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…