Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Sekta ya nyumba ilishakufa rasmi tangu zamani Sana enzi za Utawala wa Awamu ya Kwanza ya Mwl. J. K. Nyerere chini ya Sera zake za Ujamaa, Azimio la Arusha na Operesheni Vijiji.

Azimio la Arusha ndiyo Kaburi ambalo Sekta ya Nyumba (Real Estates ) ilimozikwa.
 
Rekebisha kwenye maelezo ni "real estate" na sio "rea estate". Hii biashara biashara imeanza kufufuka vizuri, ila tungefanya vizuri zaidi kama kodi kwenye vifaa vya ujenzi ingepunguzwa. Aidha, mchakato wa kutunga ile sheria ya kudhibiti madalali wa real estates uharakishwe, kuna wahuni wengi sana eneo hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…