Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Sasa hao uliowataja wewe umeona walisimamia sera za Kijamaa? Hao wote walisimamia ubapari ndio uchumi ulifanya vizuri lakini akina John na Julius ni Bure kabisa

Sasa hao uliowataja wewe umeona walisimamia sera za Kijamaa? Hao wote walisimamia ubapari ndio uchumi ulifanya vizuri lakini akina John na Julius ni Bure kabisa
Labda unielimishe, Tanzania tunafuata sera ipi? Ujamaa au Ubepari? Au kila Rais aliyepo madarakani anaamua afuate sera ipi kati ya hizo?
 
Mama anakimbiza Kila sekta,mama sio mjamaa anajua ku source money Kwa manufaa ya Tanzania.

Samia akifika 2030 Tanzania itakuwa Juu zaidi kwenye maendeleo kuliko Nchi zote za Afrika Mashariki.
"itakuwa Juu zaidi kwenye maendeleo kuliko Nchi zote za Afrika Mashariki" na Afrika kwa ujumla.
 
Hivi watakao ishi kwenye hayo majumba ni kina nani??Watanzania au hao Wageni mnaofukuza kila siku na kuwadhulumu ili waondoke mtaifishe mali zao?? IMF wananufaika na ukopaji na kuongeza kukusanya mapato ni kukamua watu maskini ili walipe madeni ya IMF kwa hiyo huyo Bo ni mnyonyaji asiejijua kwani yeye halipi kodi hata hapo Marekani alipoajiriwa halipi kodi.
 
Labda unielimishe, Tanzania tunafuata sera ipi? Ujamaa au Ubepari? Au kila Rais aliyepo madarakani anaamua afuate sera ipi kati ya hizo?
Kwa Sasa ni ubepari mixer na ujamaa ndio maana Bado Kuna Ugumu wa kufanya Baadhi ya maamuzi.
 
Kwa Sasa ni Watanzania,sheria yetu hiruhusu Wageni kumiliki nyumba ila kupanga ndio maana NHC inataka Serikali ibadili sheria Ili Wageni waruhisiwe kumiliki Ardhi/nyumba
 
Kwa Sasa ni ubepari mixer na ujamaa ndio maana Bado Kuna Ugumu wa kufanya Baadhi ya maamuzi.
Hakuna ubepari mixer wewe mjinga duniani kote ni ubepari na ubeberu na ubwenyenye na kama hujui hiyo ni ujinga wa kujitakia. Mimi ni Bepari na sina shida yeyote kwani natafuta hela yangu bila rushwa au nepotismo na sipendi upumbavu wa kijamaa
 
Wata wanatapanya kodi zetu ww unasifia ujinga ujinga sgr zimepigwa ka 400b unajua zimeenda wapi
 
Hakuna ubepari mixer wewe mjinga duniani kote ni ubepari na ubeberu na ubwenyenye na kama hujui hiyo ni ujinga wa kujitakia. Mimi ni Bepari na sina shida yeyote kwani natafuta hela yangu bila rushwa au nepotismo na sipendi upumbavu wa kijamaa
Pumbavu wewe nyumbu huwezi nifundisha Mimi uchumi,Unajua maana ya Mixed Economy?
 
Pumbavu wewe nyumbu huwezi nifundisha Mimi uchumi,Unajua maana ya Mixed Economy?
Wewe hujaenda shule kwa unavyoandika umjinga wa kutupa na have never had critical knowledge about anything and wondering whether you even possess any tangible business and understand what’s really happening in the world and Tanzania
 
Nyumbu mbona ume panic shida ni nini? Hili ndio tatizo kubwa la watu wapumbavu wanadhani vyeti ndio akili 😆😆
 
ID nyingine ya Lukas Mwashambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…