Kong xin cai
Member
- Dec 12, 2020
- 76
- 87
Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao.
Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu.
Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma, wananchi waliokuwa wanachukulia Kwa ajiri ya mafunzo katika sekta ya ulinzi wengi wao walikuwa wahitimu WA darasa la sana. Hali hii ilitokana na teknolojia duni, na wananchi wengine walikuwa na elimu za kawaida hivyo maasuala ya ulinzi na usalama mengi yalihitaji kutumia nguvu zaidi kuliko maarifa hivyo haikuwa lazima kudahiri watu wenye elimu za juu.
Kadri teknolojia inavyozidi kukua, ndivyo uharifu nao unazidi kukua, Leo hii raia anafanya uhalifu akiwa nyumbani kwake tunawezaje kuzuia hali ikiwa bado tunadahili hawa hawa wenye elimu za wastani kwenye sekta za ulinzi na usalama.
Kwa miongo ijayo Kuna matumizi ya teknolojia kwenye sekta ya ulinzi na usalama je itaweza kuendana na hawa police jamii au ndo wale wale wanaokuja kukwamisha maendeleo ya technology.
Siku hizi Kuna matukio ya kiuharifu ya kimtandao, unawezaje kuzuia uharifu WA aina hii kama police wetu ndo hawa.
Lakini vile vile kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu WA ajira Kwa vijana waliohitimu WA vyuo, hawa watu wanapoingia mitaani, ndio mwisho WA siku wanafanya matukio ya kiuharifu sasa fikiria mwizi ana degree halafu police Hana, tutegemee Nini hapa?
Makosa ya kiuharifu siku hizi ni ya kutumia maarifa zaidi kuliko nguvu kama ilivyokuwa hapo awali hivyo tunahitaji walau police wenye maarifa na weredi katika sekta hii ili kuendana na wakati.
Mbali na upande huu WA usalama WA raia na mali zao, tunashuhudia nchi zingine WAna majeshi mbalimbali ikiwemo majeshi ya kusimamia mitandao. Maendeleo mojawapo ya Tanzania TUITAKAYO ni technology, na technology inakuja na changamoto zake hivyo inatulazimu kama taifa tuhakikishe usalama WA raia kwenye nyanja zote.
Pengine serikali imeanza kufanya jitahidi lakini niombe, yapo mambo ambayo yamejaa huku kwenye sekta hizi za usalama, unatangaza watu watume maombi, wakati huo mtandao haueleweki, mwisho siku zinaisha mambo hujakamilisha. Ni lini haya mambo yatakuwa ya HAKI NA UWAZI.
"Narudia tena police WA darasa la au form four hawezi kutusaidia kuimarisha ulinzi, ikiwa waharifu wengi Wana degree na diploma"

Upvote
3