C_O
Member
- Jan 3, 2019
- 54
- 33
Mara nyingi kwa level ya taifa kuna baadhi ya sector za biashara zinaonekana kama ndo zina msaada mkubwa kwenye uchumi wa nchi..
Kwa wana JF w unavozan n sector gan zina mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi ukitoa kilimo maana kwetu huku inaonekana kama ndo inamchango mkubwa kwasababu mbali mbali??