Sekta za biashara

C_O

Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
54
Reaction score
33
Mara nyingi kwa level ya taifa kuna baadhi ya sector za biashara zinaonekana kama ndo zina msaada mkubwa kwenye uchumi wa nchi..

Kwa wana JF w unavozan n sector gan zina mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi ukitoa kilimo maana kwetu huku inaonekana kama ndo inamchango mkubwa kwasababu mbali mbali??
 
Tafuta budget ya fedha ya serikali ina majibu yako
Not in Tanzania... kikawaida inaonesha inatkwimu ya kuchangia pato la taifa husika kwa kiasi kikubwa na mala kwa mala worldwide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…