Sekta za Kilimo, Mifugo na Afya

Sekta za Kilimo, Mifugo na Afya

Deghe Mangae

Senior Member
Joined
Mar 3, 2020
Posts
171
Reaction score
149
Kama una mawazo mapana hizi Idara
Nizakutupia jicho pana mno;
1. KILIMO
2. UFUGAJI
3. AFYA

Huwezi kuzungu Afya kama bila chakula
Utatu huo ndiyo mpango mzima wa kila
kitu kimaendeleo kwa namna moja au
nyingine kwani kila utakacho utakipata
kupitia utatu huo nikiboresha zaidi serikali yetu ijikite zaidi kwenye kilimo cha umwagiliaji na inawezekana lakini itoe ajira kwa usawa kwenye utatu huu.

Kumbuka Afya ni kilimo, Afya ni ufugaji. Naomba serikali ilione hili kwa 100%
 
Kwa tunapoelekea the Only Luxurious Business itagusa hizo Utatu mleta vitu. Afya, Kilimo na Ufugaji. Kwa nchi yetu yenye Mgando wa Ubunifu hela zetu bado ziko hapo labda mpaka miaka 100 mbele.
 
Back
Top Bottom