Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Nimefanya muamala toka mmoja ya mitandao ya simu kwenda Selcom. Kama kawaida imekuja message kwamba hela imeingia account yangu ya Selcom na salio linaonyesha imekatwa tayari. Siku zote hufanya hivyo na mara ya mwisho ilikuwa Taifa Stars vs Harambee Stars
Sasa kimbembe ni kukata tiketi. Baada ya kuingiza*150*50# message inayokuja inasema: Your Selcom card profile has been disabled. Nimekwama jumla. Number yao ya Customer Care hawapokei simu (0786190901)
Sijui kama ni mimi tu au Selcom wameamua kuvuruga kilele cha siku ya Wananchi.