Selcom na njama za kuwahadaa watanzania

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,039
Reaction score
1,256
Tanesco tumeambiwa na TRA kuwa Selcom amegushi nyaraka na kukiuka taratibu za kulipa kodi hvyo kimsingi amekuwa akiisababishia TRA na Serikali hasara kubwa. Na hili swala Mkurugenz wetu mkuu alilieza vema pamoja na Mh Waziri wetu...
Sote tunafaham kugushi nyaraka za serikali ni kosa kubwa kisheria. Kama shirika lazima tutimize wajibu wetu kwa kuchukua hatua na Jamuhuri mi lazma ichukue hatua stahiki. Napenda kuwahakikishia wananchi na wateja wote wa shirika kuwa huduma imesharudi kwenye hali yake kwan sasa tumeshaziunganisha na zimeanza kutoa huduma za luku kupitia Mpesa, Airtel Money na Tgo pesa. Halikadhalika katika vituo vyote vyetu vya tanesco nchi nzima na kwa sasa tunavifungua siku zote mpaka jumapili pia.
Tutaendelea kusimamia sheria na taratibu katika kutoa huduma zetu kwa manufaa ya wananchi ASANTE
 
Hivi Tanesco siku hizi ni wasimamizi wa kodi?
 

Naweza pata fursa ya kuwasiliana na customer care?tatizo langu nimenunua umeme kwa max malipo,kwa mara ya kwanza nimeona nimekatwa 3% REA.Je! Ni sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…