Nilikuwa napitia website ya bunge kuacheki maselebriti wetu, nikaona huyu mmoja akanivutia na kunishangaza,
WHO IS WHO
Honourable Ngasongwa , Dr. Juma A. [CCM]
Ulanga Magharibi Constituency
Questions(0)
Supplementary Questions(0)
Contributions(3)
Alikuwa amesafiri?
...Haika kwa upeku peku na wewe!!? Honestly hajawatendea haki wapiga kura wake....Nitawasiliana na rafiki yangu mmoja yuko ulanga district council aone hii yawezekana akafikisha ujumbe kwa wapiga kura wa huyo selebriti.....Na huenda amevuta seating allowance zote tangu bunge limeanza....Kuna some figure mi naona ziko outdated mle bungeni wanaenda kwqa mazoea tu lakini hawana kitu wanachoenda kufanya.Nilikuwa napitia website ya bunge kuacheki maselebriti wetu, nikaona huyu mmoja akanivutia na kunishangaza,
WHO IS WHO
Honourable Ngasongwa , Dr. Juma A. [CCM]
Ulanga Magharibi Constituency
Questions(0)
Supplementary Questions(0)
Contributions(3)
Alikuwa amesafiri?
Nilikuwa napitia website ya bunge kuacheki maselebriti wetu, nikaona huyu mmoja akanivutia na kunishangaza,
WHO IS WHO
Honourable Ngasongwa , Dr. Juma A. [CCM]
Ulanga Magharibi Constituency
Questions(0)
Supplementary Questions(0)
Contributions(3)
Alikuwa amesafiri?
I think hapo ungetuelewesha zaidi. Hizo takwimu zimechukuliwa kwa kuzingatia viao vingapi na lilikua ni bunge la ngapi?
Mi nakumbuka huyo Mheshimiwa alikua waziri wa Mipango, Uchumi na Uwezeshaji. Tena alikuwa confident sana akisoma bajeti bungeni.
Maybe he's shy kuuliza maswali.