Jerhy
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 3,134
- 998
Tunayo pongezi kubwa kwa vijana wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu Ardhi kwa mwaka wa masomo 2013/14. Chuo kipo jijini Dar es Salaam karibu na UDSM.
1. Majina ya waliochaguliwa yapo katika website ya chuo tayari mpka sasa, tembelea uweze kudownload form ya usajili, vipimo vya daktari, maelezo ya kujiunga na barua ya kuitwa chuoni.
Nianze kwa kukufahamisha jinsi ya kufika hapa, kwa wale watakaotoka mikoani , ukishuka tu ubungo kituo kikuu cha mabasi, toka nje uliza Sam Nujoma Road hii inanzia pale ubungo mataa kuelekea Mwenge hivo basi daladala za kwenda chuo zinapatikana pale darajani njia panda ya chuo kikuu, zimeandikwa Mwenge-Ubungo via Chuo kikuu nauli ni shilingi 400/= tu. Usikodi taksi 15,000/= hiyo utaijutia kwa sababu hapa hakuna atayekupokea ni wewe na begi lako kwani hata siku hiyo hutaonyeshwa mahali pa kulala hivo ni kuripoti na kusepa . Mpaka utakapo kamilisha malipo yote. Kwa hiyo Utashukia Ardhi au Geti dogo hapo utakuwa umefika Ardhi Univesity.
Mambo muhimu ya kuzingatia ni haya: 1. Chuo kina hostel ya waschana na wavulana yenye uwezo wa kubeba wanachuo 400 tu kila mwaka. Hivo ukiwahi kuripoti na kulipia pango basi ndo bahati yako pekee ambapo gharama zake ni120,000/= kwa semester per head.
Serikali ya wanafunzi ARUSO imeaanda utaratibu mzuri wa kupata malazi nje ya campus hivo kwa watakokosa hostel ndani ya chuo basi itawalizimu kukaa nje ya chuo katika hosteli zilizoandaliwa na ARUSO ambayo gharama yake inategemea huduma zilizopo hapo lakikini bei zake ni tofauti na chuo kwa sababu ni hosteli za watu binafsi, Kwa hiyo njoo na fedha ya kutosha kuweza kujikimu.
2. Vijana wengi wamepanga mtaani survey na mlalakuwa huko vyumba ni kuanzia 60,000/= na kuendelea. Endapo utapenda kuishi mwenyewe basi vyumba mtaani vipo kwa gharama bora na makazi yalivo. Hivyo basi jitahidini kuweka uhusiano mzuri kwenu wenye ndugu, jamaa na marafiki waliopo dar ili waweze kukuhifadhi kwa muda wakati ukisubiria mkopo loan bodi na kulipia pango.
3. Hakikisha unahudhuria orintation course kwa uaminifu zaidi kwani meng kuhusu mfumo mzima wa jinsi utakavyoishi hapo chuo hutolewa kwnye mhadhara huo, pia jitahidi kupata ratiba ya matukio kutoka kwa mshauri wa wanafunzi.
4. Chuo hiki kinakazia zaidi elimu hivo wale wanaofikiria eti wiki ya kwanza hamna kitu sio kweli, ratiba inaheshimiwa zaidi kuliko wewe yaani profesa anaingia dakika tano kabla ya muda, anatoa logistic sheet ya kusaini mahudhurio baada ya dakika 15 kupita anaichukua kisha wale watakaofika kwa kuchelewa ni kwamba haeakuhudhuria lecture zake. Hawajali mpo 3 au 7 siku hiyo yeye atafundisha mada husika, na kutoa asgnment. Hivo mahudhurio yako mazuri ndo yatakuepusha na kurudia mitihani na diskondinuesheni.
5. Vifaa vya darasani katika fani za uchoraji vinapatikana katika stationary zetu chuo kwa bei nafuu zaidi.
6. Mwisho wa usajili ni tarehe 18/10/2013, tafadhali usipuuzie kwani hakutakuwa na muda wa ziada kukusajili endapo hutafanya hivo mapema.
Mwisho tunakukaribisha sana chuo kikuu Ardhi tarehe "Monday 07/10/2013 for freshers..... fisrt year