selected students ARU

selected students ARU

flyn ryder

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
656
Reaction score
86
tembelea website yao aru.ac.tz wameweka form zote but sijui wamesahau au vipi kuweka admission latter..
 
heheh nyie vijana wa UCLAS, mtafanya oil sumu ajinyonge na MUCE yake
Muraa!!!
 
Last edited by a moderator:
dogo muhimbili umekosa nw umepata udsm pamoja sanaa dgo

Muhas was my 2nd selection but md was my desire's priority, lakini kwasababu ya upepo wa pesa na opportunity za mkwanja nkajitupa petroleum/ufuta (udsm udsm udsm) BABA LAOOO
 
Baba huwa anafurahi zaidi ya mtoto pale mtoto anapoanza kuishi pekeyake na kujitegemea.....
Hongereni sana aru (ud)

mkuu samahani naomba ufafanuzi hapo hivi aru ilikua sehemu ya UD au una maanisha nini...?
 
Muhas was my 2nd selection but md was my desire's priority, lakini kwasababu ya upepo wa pesa na opportunity za mkwanja nkajitupa petroleum/ufuta (udsm udsm udsm) BABA LAOOO

hahaahaaha jifariji tuu watu tunafuata kitu roho inapenda na co jina la chuo.! So md na ww ndo bye bye tena
 
Back
Top Bottom