Selection :2

jakamot

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
51
Reaction score
4
Mnisaidie mbona kwenye profile yangu selection status bado ni processed? Nyie ndugu zangu vipi? Je ni kweli selection tcu wametoa?
 
Mnisaidie mbona kwenye profile yangu selection status bado ni processed? Nyie ndugu zangu vipi? Je ni kweli selection tcu wametoa?

Ya kila mtu iko hvohvo usipanic na selection hawajatangaza rasmi ila kuna watu wachache tulipata selection zetu kupitia Airtel yatosha... ila kuna baadh ya vyuo vimeanza kutoa majina.
kama Mnt meru,jordan,ita,arusha university, Amucta n.k
 
ulikuwa wapi wewe? By the way hayajatokaa! Ila kuna tuliobahatika kuona kupitia airtel yatoshaaa!! Cku nyingine acha uzembee
 
Tulia kijana,mambo bado.mbona mwakajana walitoa september tarehe za mwanzoni!ila mwaka huu,vijana wanaugwadu sana,tofauti na miaka mingine,sijui kwa nin?lakin naweza sema subili,kama ulipiga fresh,chuo unacho tu,ata kama wanachelewa.:kev:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…