Selection college of health tanzania 2014/2015

Wise Sister

Member
Joined
May 27, 2014
Posts
52
Reaction score
51
Jamani naomba msaada kwa mnaofahamu hili linakuwaje? Jana nimeingia profile nikakuta checking in progress, nilivoenda kwenye matokeo nikakuta nimechaguliwa KAM COLLEGE OF HEALTH, Ordinary diploma in Clinical Medicine. Nika confirm. Leo nimeingia kwenye profile nikakuta hamna ujumbe wowote hata yale machaguo siyaoni, ila nilivoenda kwenye matokeo nikakuta nimechaguliwa hiyohiyo KAM COLLEGE Lakini inanitaka niconfirm nanikitaka kuconfirm haikubali. Nifanyaje?
 
Ulienda kwenye matokeo sehemu gani.
 
Vipi kaka, ulipata msaada wowote kutoka nacte? sabu ulikua unasema ukiangalia selection unaona umechaguliwa na ni confirmed, lakini ukienda kwenye profile unakuta checking in progress, mi imenitokea iyo, lakini hadi saivi hamna msaada wowote, namba zao walizotoa hazipatikani karibu zote, kuna moja ilikua inaita lakini haipokelewi, nimejaribu na kutuma sms lakini kimya tu.asa wanatuacha hewani.Kama kuna information zozote kuhusu ilo tatizo tujulishane jamani.
 
Jamani naomba msaada kwa mnaofahamu hili linakuwaje? Jana nimeingia profile nikakuta checking in progress, nilivoenda kwenye matokeo nikakuta nimechaguliwa KAM COLLEGE OF HEALTH, Ordinary diploma in Clinical Medicine. Nika confirm. Leo nimeingia kwenye profile nikakuta hamna ujumbe wowote hata yale machaguo siyaoni, ila nilivoenda kwenye matokeo nikakuta nimechaguliwa hiyohiyo KAM COLLEGE Lakini inanitaka niconfirm nanikitaka kuconfirm haikubali. Nifanyaje?

Dah!! Kutakuwa na mistake ndogo mkuu ila nmefurahi leo kuona wa2 wameanza pangiwa KAM na wizara ya afya.. Kwa ushauri wangu ukija kama njoo kwa uangalifu mana saiv kuna mtafaruku kati ya chuo na wanafunzi ni ushauri tu mkuu mana na mm ni mwanafuzi wa KAM!!
 
Back
Top Bottom