Selection fom 5 zatangazwa leo!

Selection fom 5 zatangazwa leo!

De black

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
52
Reaction score
0
East Africa Radio @earadiofm 25s Majina ya wanafunzi
waliochaguliwa kujiunga kidato
cha 5 yanatangazwa sasa na
Naibu waziri wa elimu, Philipo
Mulugo. #2013KidatoCha5
 
Ukweli kabisa hata mi nimeskia sasa madogo bora msepe.
 
Hii hapa taarifa ya earadioEast Africa Radio @ earadiofm 43m
Ukitoa idadi ya waliopunguzwa, wanafunzi 33,683 ndio wamepata nafasi ya kidato 5, wasichana ni 10,3000 na wavulana 23,383. #2013KidatoCha5
View details ·
na link ya e.a.radio hii hapahttps://mobile.twitter.com/earadiofm
 
Hii hapa tena taarifa ya earadioEast Africa Radio @ earadiofm 44m
Wanafunzi wote waliochaguliwa kuingia kidato cha 5, wanatakiwakuripoti shuleni tarehe 29 mwezi huu wa 7. #2013KidatoCha5 ·
https://mobile.twitter.com/earadiofm
 
Mulugo bwana, Kweli barua ni haraka kuzidi mtandao? Unawezaji kutuma majina hayo yote kwa barua ushindwe kuweka kwenye mtandao
 
Back
Top Bottom